Deuteronomy 9:16

16 aNilipotazama, niliona kuwa mmefanya dhambi dhidi ya Bwana Mwenyezi Mungu wenu; mmejifanyia sanamu ya kusubu katika umbo la ndama. Mmegeuka upesi kutoka njia ile Bwana aliyowaagiza.
Copyright information for SwhKC